Ugonjwa Wa Pid Ni Nini?
Ugonjwa wa pid ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke.
Maambukizi haya kutokea ikiwa bakteria wanaoambukiza kwa njia ya kujamiiana watasambaa kutoka kwenye uke kwenda kwenye mji wa mimba (Uterus), mirija ya uzazi (Fallopian tubes) na kwenye ovari (ambapo mayai ya mwanamke hupatikana).
Ugonjwa Wa Pid Husababishwa Na Nini?
Ugonjwa wa pid husababishwa na magonjwa ya zinaa kama vile kisonono (gonorrhea) na pangusa (chlamydia). Mwili wa mwanamke unapokuwa na afya njema, mlango wa kizazi huwa na uwezo mkubwa wa kuzuia bakteria wasiweze kuingia katika viungo vya ndani vya uzazi kutoka ukeni.
Hata hivyo wakati mlango wa kizazi unapokuwa wazi na kuruhusu magonjwa ya zinaa kuingia hasa kisonono (gonorrhea) na pangusa (chlamydia), mlango wa kizazi hupata maambukizi na kisha hupoteza uwezo wake na hivyo kuruhusu maambukizi na bakteria kuingia na kufika juu kwenye viungo vya uzazi.
Soma pia hii makala: Zijue Dawa Za Asili Za Fangasi Ukeni Ambazo Hakuna Mtaalamu Wa Afya Atathubutu Kukwambia.
Jinsi Mwanamke Anavyo Ambukizwa Ugonjwa Wa Pid:
Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa ugonjwa wa pid. Njia hizo ni pamoja na:
A) Kama Una Ugonjwa Wa Zinaa Na Hujatibiwa.
B) Kufanya Ngono Zembe Isiyosalama (Yaani Kulala Na Wanaume Tofauti Tofauti).
C) Kuwa Na Mpenzi Ambaye Ana Wanawake Wengi Nje.
D) Kama Umeshawai Kuwa Na Historia Ya Kuugua Pid Kabla.
E) Maambukizi Ya Nje Ya Uzazi Mara Baada Ya Kutoa Mimba Kwa Njia Zisizo Salama (Post Abortion) Au Mara Baada Ya Mimba Kutoka (Miscarriage).
F) Maambukizi Ya Nje Ya Uzazi Hasa Kipindi Mara Baada Ya Kujifungua (Postpartum Period).
G) Kutumia Vipandikizi Vya Ndani Ya Mfuko Wa Uzazi (IUCD) Kama Njia Mojawapo Ya Uzazi Wa Mpango.
H) Kuambukizwa Kupitia Damu Iliyo Na Vimelea Vya Pid.
I) Kutuma Sana Vidole Wakati Wa Kusafisha Uke (Excess Vaginal Douching).
Dalili Za Pid Kwa Mwanamke:
Zipo dalili kadhaa za ugonjwa wa pid kwa mwanamke, miongoni mwa dalili hizo ni pamoja na;
A) Kuhisi Maumivu Ya Tumbo Hasa Maeneo Ya Chini Ya Kitovu.
B) Kupata Maumivu Ya Mgongo.
C) Kupata Utoko Mchafu Sehemu Za Siri, Utoko Huu Huambatana Na Harufu Mbaya.
D) Kuhisi Maumivu Wakati Wa Kukojoa.
E) Kupata Maumivu/Kutokwa Na Damu Wakati Wa Tendo La Ndoa.
F) Kutokwa Damu Bila Mpangilio Wakati Wa Hedhi.
G) Kupata Homa.
H) Wakati Fulani Kuhisi Kichefuchefu Kama Mwanamke Mjamzito Na kutapika.
Matibabu Ya Pid:
Matibabu ya pid kwa kutumia dawa yataondoa mara moja maambukizi yanayosababishwa na pid lakini hakuna njia ya kukarabati makovu au uharibifu kwenye njia ya viungo vya uzazi uliotokana na pid. Matibabu ya pid yaweza kuwa:
A) Antibiotics Za Kutibu Pid.
Daktari atakuandikia dawa inayoendana na chanzo cha tatizo lako.Utasubiri siku kama tatu kuona kama dawa ulizopewa zinafanya kazi.
Dawa za Pid zinazotolewa na daktari ni pamoja na; Metronidazole tabs, doxycycline tabs na cefixime tabs
B) Kumtibu Mpenzi Wako.
Kuzuia maambukizi yafaa mpenzi wako afanyiwe uchunguzi na atibiwe.
C) Kuacha Kushiriki Ngono Kwa Muda.
Acha kushiriki ngono hadi utakapomaliza tiba na kuona kuwa umepona.
Madhara Ya Pid:
PID ambayo haikupata tiba inaweza kusababisha makovu na vifuko vyenye maji yenye wadudu kwenye mkondo wa njia ya uzazi ya mwanamke, vitu hivi vinaweza kusababisha madhara ya kudumu kwenye viungo vya uzazi. Madhara yanayoweza kutokea ni pamoja na;
A) Mimba Nje Ya Mirija Ya Uzazi (Ectopic Pregnancy).
PID ndiyo sababu ya mimba kutunga nje ya kizazi, mimba huweza kutunga nje ya kizazi endapo PID imesababisha makovu ndani ya mirija ya uzazi. Makovu haya husababisha yai lililopevushwa kushindwa kusafiri ndani ya mirija ya uzazi kuelekea kwenye nyumba ya mirija ya uzazi. Mimba nje ya uzazi husababisha utokaji wa damu usiowakawaida unaoweza kukatisha maisha ya mwanamke.
B) Ugumba.
Uharibifu wa viungo vya uzazi huweza kusababisha ugumba, kushindwa kupata ujauzito. Kadri unavyozidi kupata PID mara nyingi zaidi ndivyo hatari ya ugumba inavyozidi, kuchelewa kupata tiba ya PID kuongeza hatari ya ugumba.
C) Maumivu Sugu Ya Nyonga.
PID inaweza kusababisha maumivu ya nyonga yanayoweza kudumu miaka mingi. Makovu ndani ya mirija ya uzazi na viungo vingine vya uzazi huweza kuleta maumivu wakati wa kujamiiana na wakati yai hudondoshwa (ovulation).
D) Tubo Ovarian Abscess.
PID huweza kusababisha kutunga kwa usaha na kufanya majipu ndani ya mirija ya uzazi na ovari, ingawa huweza kuota ndani ya nyumba ya uzazi na shingo ya kizazi kama tiba haitatolewa, unaweza kupata maambukizi hatarishi kwa maisha.
Madhara Ya Pid Kwa Mjamzito:
Yafuatayo ni madhara yanayoweza kutokea kwa mama mjamzito endapo atashindwa kupata tiba ya pid mapema;
1) Kujifungua kabla ya wakati au ujauzito kuharibika.
2) Kujifungua mtoto mwenye maambukizi na wakati mwingine hufariki muda mchache baada ya Kujifungua au kujifungua mtoto mfu.
3) Kuziba kwa mirija ya uzazi.
Jinsi Ya Kuzuia Ugonjwa Wa Pid:
Kuna njia kadhaa za kuzuia ugonjwa wa pid.Njia hizi ni pamoja na;
A) Kuwai Kuwaona Wataalamu Wa Afya Mara Dalili Za Ugonjwa Zinapoanza Kujitokeza Au Pindi Tu Unapogundua Kuwa Mpenzi Wako Ana Dalili Za Magonjwa Ya Zinaa Au Anatembea Na Wanawake Wengi.
B) Kufanya Vipimo Mara Kwa Mara Hasa Vipimo Vya Uzazi, Pamoja Na Vipimo Vya Maambukizi Ya Magonjwa Yanayosambazwa Ka Njia Ya Ngono (STI) Hususani Kwa Mgonjwa Wa Chlamydia, Ufanye Vipimo Kila Mwaka Mara Moja.
C) Kutofanya Ngono Mara Baada Ya Kujifungua, Mimba Kutoka Au Mara Baada Ya Kutoa Mimba Ili Kuhakikisha Njia Ya Shingo Ya Uzazi Imefunga Vyema.
D) Njia Hakiki Ya Kujizuia Na Maambukizi Haya Ni Kuacha Ngono Zembe Na Kufanya Ngono Salama.
Dawa Za Asili Za Pid:
Zifuatazo ni dawa za asili ambazo unaweza kuzitumia kutibu ugonjwa wa pid unapokuwa katika mazingira yako ya nyumbani;
A) Kitunguu Saumu.
Kitunguu Saumu Ni Mojawapo Ya Tiba Mbadala Ya Nguvu Katika Kutibu Ugonjwa wa Pid. Ni Dawa Nzuri Dhidi Ya Bakteria Wanao Sababisha Ugonjwa Wa Pid Na Hivyo Moja Kwa Moja Kuwa Muhimu Katika Kutibu Ugonjwa Wa Pid.
Jinsi ya kutumia kitunguu saumu kutibu pid.
Chukua Kitunguu Saumu Kimoja Na Ukigawe Mara2, Menya Nusu Yake (Punje 10 Au 15), Menya Punje 1 Baada Ya Nyingine Na Kisha Kikatekate (Chop) Vipande Vidogo Vidogo Na Kisu Kisha Meza Kama Unavyomeza Dawa Na Maji Vikombe Viwili Kila Unapoenda Kulala Na Uamkapo Asubuhi Kwa Siku7, Baada Ya Hapo Hakutakuwa Na Maambukizi Ya Pid.
Kumbuka: Matumizi ya kitunguu saumu pamoja na dawa za kushusha presha (anti hypertensive drugs) yanaweza kusababisha presha kushuka zaidi. Hivyo ikiwa unatumia dawa za kushusha presha hashauriwi kutumia kitunguu saumu.
B) Binzari Ya Manjano.
Binzari Ya Manjano Pia Ni Mojawapo Ya Dawa Ya Asili Ambayo Hutumika Kutibu Ugonjwa Wa Pid.
Jinsi Ya Kutumia Binzari Ya Manjano Kutibu Pid.
Chukua Kijiko Kimoja Cha Binzari Ya Manjano Iliyosagwa, Kisha Koroga Kwenye Glass Iliyobeba Asali Mbichi Vijiko Viwili Na Maji, Baada Ya Hapo Kunywa Mchanganyiko Huo Wa Asali Mbichi, Binzari Na Maji, Asubuhi Na Jioni Kwa Muda Wa Siku 7.
C) Baking Soda.
Kama Ukikosa Kitunguu Swaumu Au Binzari Ya Manjano Unaweza Kutumia Baking Soda Kama Dawa Ya Kutibu Ugonjwa Wa Pid.
Jinsi Ya Kutumia Baking Soda Kutibu Pid.
Chukua Nusu Kijiko Au Kijiko Kimoja Cha Baking Soda, Kisha Koroga Kwenye Glass Iliyobeba Maji Ya Vuguvugu, Baada Ya Hapo Kunywa Mchanganyiko Huo Wa Baking Soda Na Maji Ya Vuguvugu Asubuhi Jioni Kwa Muda Wa Wiki Mbili.
D) Mbegu Za Mlonge.
Vitamini, Madini, Na Homoni Muhimu Zilizomo Kwenye Mbegu Hizi Huufanya Mwili Wako Kuwa Na Usawa Unaohitajika Kiafya Na Hivyo Kukupa Kinga Dhidi Ya Magonjwa Mengi Bila Idadi Ikiwemo Pid (Pelvic Inflammatory Disease). Ikiwa Utakosa Kitunguu Saumu, Binzari Ya Manjano au Baking Soda Katika Mazingira Yako Ya Nyumbani Basi Unaweza Kutumia Mbegu Za Mlonge Kutibu Maambukizi Ya pid.
Jinsi ya kutibu pid kwa kutumia mlonge.
Chukua Punje 3 Za Mlonge Na Uzimenye Ganda Lake La Juu Kila Moja, Kisha Tafuna Zile Mbegu Zake Za Ndani, Ukimaliza Kuzitafuna Kunywa Maji Ya Kawaida Glass 2 (Nusu Lita), (Epuka Kunywa Maji Ya Baridi yaliyotoka Kwenye Friji), Fanya Hivi Kutwa Mara Tatu.
HITIMISHO:
Ikiwa utahitaji kutokomeza kabisa changamoto ya ugonjwa wa pid baada ya kutumia mojawapo ya tiba asili zilizotajwa hapo, tunakushauri utumie PANACEA natural product, dawa ya asili iliyotengenezwa kutokana na mimea na matunda. Kupata dawa hiyo bonyeza hapa: “Jinsi Ya Kutokomeza P.I.D Bila Ya Kuchoma Sindano…
Lakini pia, kwa uhitaji wa updates, vitabu (e-books) bure kuhusu afya jisajili (subscribe) kupitia email yangu kwa kubonyeza hii link: https://isayafebu.beehiiv.com/subscribe
Ni mimi mwenye kujali afya yako Dr. ISAYA FEBU.
Je Unasumbuliwa Na PID, Fangasi Sugu Au UTI Sugu Kwa Muda Mrefu Bila Kupata Suluhisho La Uhakika?
Kiasi ambacho umeshajikatia tamaa na huelewi ufanye nini ili kutatua changamoto yako inayokunyima usingizi?
Kama jibu ni NDIYO, basi usiwe na wasiwasi kwani nimekuletea suluhisho la changamoto yako…
Huhitaji kuendelea kutumia dawa za mahospitali ambazo umekuwa ukitumia kwa muda mrefu bila kupona…
Suluhisho halisi kwa changamoto yako aidha ni PID, FANGASI SUGU au Uti sugu utalipata kupitia kitabu (soft copy) kitakachokupa muongozo wa kujitibia changamoto yako uwapo mazingira ya nyumbani kwako…
Gharama ya kitabu hicho mara zote ni TZS 10,000/= ila kwa kuwa leo hii ni sherehe ya kumbukizi ya siku yangu ya kuzaliwa (birthday) nitakupatia kwa bei ya OFA ya TZS 3000/= tu (okoa 7,000/= nzima)…
Ili Kupata OFA hiyo Lipia kwenda Tigo Pesa namba 0653211873 (Isaya Febu Msemwa) Kisha nitumie muamala wako WhatsAPP Kwa kubonyeza hapa: https://wa.me/+255625305487
PS: Ofa hii itaisha kesho saa 6:00 mchana, weka oda yako mapema Kwani ukiikosa leo, kuipata tena mpaka mwakani tarehe kama ya leo.
Ivi PID ikizidi unaweza poteza uzazi?
Hapana huwezi kupoteza uzazi…ila Pid ikizidi utapoteza uwezo wa kushika mimba
Mimi nimwanamke natokwa na ute Kama kamas je you naweza ikawa no pid ila autoi harufu
Mimi mke wangu ana mimba na kuna muda uchafu kama usaha unatoka ata akichuchumaa tu, anapata maumiv chin ya tumbo muda mwing, je inaweza kuwa pid?
Ningemshauri aende hospital kupata kipimo kwanza ili tujue shida nn
Hizo dawa ulizoandika hapo unatumia zote au Moja wapo ya hizo
Unatumia zote
Dr Asante kwa somo nzuri la afya no
karibu sana Rehema
Mimi ni mjamzito napata maumivu saana chini ya kitovu nilipoenda kupima nimeambiwa ni pid lkn wamesema dawa siruhusiwi kunywa kwasababu ujauzito wangu haujafikisha miezi mitatu ya mwanzo nifanyeje ili kupunguza maumivu nayopata ya tumbo
tumia dawa za kutuliza maumivu mfano Paracetamol
Je kwa kutumia kitunguu swaumu kama ulivyoeleza hapo juu kwa mjamzito haileti Madhara yoyote?
Mi na tatizo la pid nlijaribu kutumia sawa za hospitali lakin sikuona mafanikio je nawez nikatumia hizo njia za asili
Ndio unaweza
Kutumia vitunguu swaumu kama ulivyoeleza hapo juu haitakuwa na madhala kwa mjamzito
kwa mama mjamzito mwenye mimba chini ya miezi 3 hatakiwi kutumia vitunguu swaumu
kwa mjamzito mwenye mimba chini ya miezi 3 hashauriwi kutumia vitunguu swaumu
Asantee
Napata wakati mgumu sana kujua jinsi yakupona ili niweze kuulinda ujauzito kutokuharibika
Jitahidi kudhuria clinic ya wajawazito itakusaidia..
Mimi tumbo linaniuma Chino ya kitovu na naskia maumivu Makali wakati wa kukojoa na pia miguu inavimba yawezekana Nina PID au ujauzito
wasiliana nasi kwa simu namba 0625305487 uje ofisini ufanye vipimo vyote vya mfumo wa uzazi kwa gharama nafuu sana ya Tshs 20,000/= ili kujua shida ni nini
Habar km ukiwa na p.i.d ukitumia vitunguu swaumu au baking powder unapona kabisa au inatuliza tu?
Hivi binti bikra anaweza kuugua PID?
Mimi ni mjamzito pia nilipima ni kakutwa na PID Ila sijapewa tiba yoyote Ile
mimba yako ina umri gani?
Kwa dodoma mpo wapi
Tupo kikuyu kama unaenda chuo cha st john
Hivi pid inatambulika kwa kipimo gani?
Dar es salaam mko wapi?
Sinza madukani
Mimi nimwanamke natokwa na ute Kama kamas je you naweza ikawa no pid ila autoi harufu
piga 0625305487 tukusaidie changamoto yako
Vitunguu swaumu ukiwa na presha ya kushika haitaleta shida
Hutakiwi kutumia vitunguu swaumu kama una presha ya kushuka
Kwani matumizi ya kitunguu saumu pamoja na dawa za kushusha presha (anti hypertensive drugs) yanaweza kusababisha presha kushuka zaidi
So hapo kama mtu ana presha ya kushuka atumie hizo njia asili nyingine na atapima
kabla hujatumia itathmini afya yako kwa kuongea na mtaalamu wa afya
Mimi ni mwanamke kwer natoka na uchafu Lakin hautoi harufuu, wala siwashwiii na na baadhi ya dalili ya pid kama vile kiuno kwer ninayo hii inaweza ikawa pid
Unaweza ukatumia dawa za hospital na za kitunguuswaumu pamoja na mlonge mbegu i mean ukuchanya ukameza zoote
Chagua tiba moja…
Je mtu ambaye hapati siku zake kwa mpangilio mara sikakata kabisa kwa miezi 4
Pid inapatikana kwa kujamiiana tu au ipi sababu kuu ya kusababisha kupata pid
Kushiriki tendo kabla ya kumaliza dozi Kuna madhara Gani kwa mwanaume na mwanamke
Ninatokwa na discharge nyeupe hautoi harafu lkn nyonga inauma kwa mda fulani maumivu makalo
unapatikana wapi?
Bro umeniokoa sanaah nimepata hofu Sana baada ya mke wangu kuniambia anaumwa na hajui shida nn lakin baada ya kuniambia Dall na nilivyo soma nakara hoi nimepata majibu kumbe shida ni PID
Mung u akuweke Sana kaka🤝🙏🏻
thanks…karibu tena
Hello madam
Ninae mtu anashida na hiyo tatizo naweza kuwapata wapi kwa hapa dar
Tunapatikana majumba sita kituoni
Naomba nipate mawasiliano yenu tafadhali
0625305487
Mimi natokwa uchafu mweupe nawashwa halafu nimeita vipele vidogovidog nmetumia dawa lakini bad
Wasiliana nasi 0625305487 kwa msaada wa tiba
I have read several excellent stuff here. Certainly worth bookmarking
for revisiting. I surprise how much attempt you place to create any such wonderful informative website.
You’re warmly welcome
I have been exploring for a little bit for any high-quality
articles or blog posts in this kind of space . Exploring in Yahoo I finally stumbled upon this website.
Studying this information So i am happy to show that I’ve a very excellent uncanny feeling I discovered exactly
what I needed. I such a lot indisputably will make sure to do not forget this
website and give it a glance on a constant basis.
You’re warmly welcome
Ukitumia moja katu ya izo dawa za asili za PID auwez kupona mpak zote
Mi nauliza hivyo vipande vya kitunguu swaumu nameza vingap vingap kwa cku ?
Pid inakua sugu baada ya mda gani hadi kusababisha mwanamke kushindwa kushika mimba?
Pid iliyotimiza zaidi ya wiki2 bila matibabu Inampunguzia mwanamke uwezekano wa kushika mimba
asant dr. kwa ufafanuz wako mzur. Mungu akuzidishie
Munapatikana wapi kwa kigoma??
Kutokwa na ute kama kamasi na usio na harufu je ni dalili pia ya PID?
Mm ni mwanamke ni naona maumivu wakati WA kukojoa halafu chini ya kitovu pananiuma na hata kwakati WA tendo la ndoa Sasa n nn hicho au ndo pid
Doctor mimi nina ujauzito una wiki 3nilienda kupima nkaambiwa nina pid nkaandikiwa dawa za kutumia na nilimeza je hizo dawa zinaweza zikasababisha ujauzito kuharibika?
Dr kwa kigoma mnapatikana wapi
Samahani Mimi nimeanza kuona dalili za P.I.D mda mrefu ila ila sikujua Kama ni dalili za ugonjwa huo je,nilitumia tiba ya asili haiwezi nisaidia?
ndio unaweza kutumia
Asante sana kwa maelezo mazuri.
Kuwashwa sehem nje ukeni baada ya kumaliza damu ya hedhi inaweza kua dalili ya nini?
Kwa mkoa wa mbeya mpo sehem gan
tunapatikana mbeya mjini, soweto karibu na mkulu hotel. Kwa mawasiliano zaidi piga 0625305487, karibu sana.