Fahamu Aina 7 Za Vyakula Vinavyo ongeza Kiwango Cha Mbegu Za Kiume.

Leo katika mada yetu ya blogu hii tutazungumzia mada kuhusu vyakula vinavyo ongeza kiwango cha mbegu za kiume (Sperm Count). 

Katika aina hizi za vyakula tuta gusia zaidi aina saba (7) za vyakula vitakavyo kusaidia kuongeza idadi ya mbegu zako kirahisi.

Ungana nami kuchambua vyakula hivi.

Vyakula vinavyo ongeza kiwango cha mbegu za kiume
Vyakula vinavyo ongeza kiwango cha mbegu za kiume.

VYAKULA VYA KUONGEZA MBEGU ZA KIUME KWA HARAKA.

Twende pamoja tuchambue aina hizi saba za vyakula vinavyo ongeza kiwango cha mbegu za kiume kimoja baada ya kingine. 

1. MAYAI.

Huongeza idadi ya mbegu za kiume kwani yana protini, virutubisho vilivyomo kwenye mayai husaidia katika utengenezaji wa mbegu za kiume zenye nguvu na afya bora.

mayai

2. MCHICHA.

Una folic acid ambayo ni muhimu kwa ukuaji wa afya ya manii.

mchicha

3. NDIZI.

Zina vitamin A, B1 na C ambazo husaidia mwili kutengeneza chembechembe za mbegu za kiume zenye afya na nguvu zaidi.Idadi ya manii pia inategemea hizi vitamini.

ndizi

4. CHOKOLETI NYEUSI. 

Imepakiwa na asidi ya amino iitwayo L-arginine HCl ambayo imethibitishwa kuchangia ujazo wa viwango vya juu vya mbegu za kiume. Ulaji kwa kiasi kidogo unaweza kuboresha idadi ya mbegu kwa kasi.

chokoleti nyeusi

5. KARANGA.

Ni chanzo kizuri cha mafuta yenye afya na protini. Mafuta yenye afya yanahitajika kwa ajili ya utengenezaji wa membreni ya seli kwa seli za manii. Asidi hizi zina mafuta ya omega-3 ambayo husaidia kuongeza ujazo wa mbegu za kiume kwa kuongeza mtiririko wa damu kwenye korodani.

karanga

6. MBEGU ZA MABOGA.

Zina phytosterol ambayo inajulikana kuboresha uzalishaji wa testosterone katika mwili. Zina mafuta yenye asidi ya omega-3 ambayo kuboresha mzunguko wa damu na kuongeza kiasi cha mbegu.

mbegu za maboga

7. VYAKULA VYA ZINKI.

Zinki inajukumu kubwa katika utengenezaji wa seli za mbegu za kiume. Vyakula kama maharage, nyama nyekundu vina zinki nyingi na vinapaswa kujumuishwa katika lishe yako ili kuwa na idadi kubwa ya manii.

vyakula vya zinki

Soma pia hizi makala:

VIRUTUBISHO VYA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME:

Vifuatavyo ni virutubisho vinavyotumika kuongeza nguvu za kiume, virutubisho hivi vimetengenezwa kutokana na mimea na matunda na vinapaswa kutumika vyote kwa pamoja ili kuleta matokeo mazuri, virutubisho hivyo ni pamoja na;

1) Masculine Herbal Complex.

Hiki kirutubisho kina jumla ya vidonge 60.

masculine herbal complex

2) Amitone.

Hiki kirutubisho kina jumla ya vidonge 90.

amitone

3) Chelated Zinc.

Hiki kirutubisho kina jumla ya vidonge 100.

chelated zinc

4) Tre En En.

Hiki kirutubisho kina jumla ya vidonge 60.

Tre en en

HITIMISHO.

Kwa uhitaji wa virutubisho vya kuongeza nguvu za kiume, bonyeza hapa: “Hii ndiyo Siri Wanayoitumia Wanaume Wengi Kuongeza Nguvu Za Kiume.”

vipimo vya mfumo wa uzazi