Yajue Matunda 9 Yanayo ongeza Nguvu Za Kiume.

Wanasayansi wa tiba mbadala wamegundua kwamba, endapo mtu mwenye upungufu wa nguvu za kiume akatumia baadhi ya matunda kwa utaratibu maalum, huweza kusaidia kuongeza nguvu za kiume kwa haraka zaidi.

Leo katika mada yetu ya blogu hii tutazungumzia matunda yanayosaidia kuongeza nguvu za kiume kwa haraka. Ungana nami katika kuchambua matunda haya.

nguvu za kiume

Matunda Ya Kuongeza Nguvu Za Kiume:

Yafuatayo ni baadhi ya matunda yanayosaidia kuongeza nguvu za kiume ambayo ni pamoja na:

1) Blueberries.

Blueberries ni matunda yanayosaidia kuongeza nguvu za kiume ambapo wengi hupendelea kuyaita ‘viagra’ asilia kutokana na kazi inayofanya mwilini. Matunda haya yana virutubisho vinavyoimarisha mishipa ya damu na kusaidia kuongeza mzunguko mzuri wa damu mwilini ambao humfanya mwanaume aweze kuimiri tendo la ndoa kwa muda mrefu.

blue berries

2) Ndizi Mbivu.

Ndizi mbivu ina kimeng’enyo cha Bromelain ambacho husaidia kuongeza nguvu za kiume na ashki ya mapenzi (libido). Tunda hili pia lina madini ya potassium na vitamin B kwa wingi ambavyo husaidia kuamsha hamu ya tendo la ndoa na uzalishwaji wa homoni wa kiume ijulikanayo kama testosterone. Mwanaume unashauriwa kula angalau ndizi mbivu 2 mpaka 3 kila siku ili kusaidia kujenga uimara wa misuli ya uume na kuongeza ufanisi katika tendo la ndoa.

ndizi mbivu

3) Tikiti Maji.

Tikiti maji ni viagra ya asili inayoweza kutumika kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume. Tunda hili lenye virutubisho muhimu kama vile Calcium, Magnesium, Carotene na vitamin lukuki ikiwemo A, B6 na C ambavyo kwa pamoja  hutengeneza virutubisho muhimu vya kuboresha nguvu za kiume. Mwanaume unashauriwa kula angalau vipande 2 au 3 vya tikiti maji kila siku huku ukitafuna pamoja na zile mbegu zake ili kusaidia kuongeza nguvu za kiume.

tikiti maji

4) Parachichi.

Parachichi huzalisha Vitamin E ambayo husaidia katika uzalishaji wa homoni ya testosterone inayochochea kuongezeka kwa uimara wa nguvu za kiume na kuleta msisimko wa hali ya juu wakati wa kushiriki tendo.

Parachichi pia lina madini ya potassium, vitamin B6, folic acid na kadharika ambavyo husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume. Mwanaume unashauriwa kula angalau parachichi moja kila siku. Unaweza pia kunywa juisi ya parachichi kikombe kimoja kila siku ukiongeza asali vijiko viwili vikubwa ndani yake.

parachichi

5) Komamanga.

Komamanga ni aina fulani ya matunda mekundu yanayofanana na apple, matunda haya yanatajwa kusadia kuamsha mishipa ya fahamu, kuweka mawasiliano sahihi ya mwili na hivyo kumuongezea mwanaume uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa hamasa kubwa zaidi. Mwanaume unashauriwa kula matunda haya mara kwa mara ili kuongeza nguvu za kiume.

koma manga

6) Zabibu.

Zabibu ni matunda ambayo yana kemikali iitwayo anthocyanin ambayo husaidia kwa kiasi kikubwa kuongeza mzunguko mzuri wa damu hasa kwenye misuli ya uume. Mwanaume unashauriwa kula matunda haya mara kwa mara ili kuongeza nguvu za kiume.

zabibu

7) Tende.

Tende ni aphrodisiac ya asili, hivyo kula tende kunaweza kusaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume. Tende zina kiwango kikubwa cha madini ya chuma, vitamini c, folate nk.

tende

8) Mtini (Figs).

Mtini ni matunda yenye kiwango kikubwa cha amino asidi ambayo husaidia katika uzalishaji wa homoni ya kiume, testosterone. Ukosefu wa amino asidi unaweza kusababisha kukosa hamu ya mapenzi au kupungukiwa na nguvu za kiume. Hivyo mwanaume unashauriwa kula matunda haya mara kwa mara ili kuongeza nguvu za kiume.

9) Maboga.

Mbegu za maboga zina phytosterol ambayo inajulikana kuboresha uzalishaji wa homoni ya kiume, testosterone katika mwili. Mbegu hizi pia zina mafuta yenye asidi ya omega-3 ambayo husaidia kuboresha mzunguko wa damu na kuongeza kiasi cha mbegu.

maboga

Soma pia hizi makala:

Virutubisho Vya Kuongeza Nguvu Za Kiume:

Vifuatavyo ni virutubisho vinavyosaidia kuongeza nguvu za kiume, virutubisho hivi vimetengenezwa kutokana na mimea na matunda na vinapaswa kutumika vyote kwa pamoja ili kuleta matokeo mazuri, virutubisho hivyo ni pamoja na; Masculine herbal, Amitone, Chelated zinc na Tre en en.

Kujua gharama za hivyo virutubisho na jinsi ya kuvipata bonyeza hapa: “Hii ndiyo Siri Wanayoitumia Wanaume Wengi Kuongeza Nguvu Za Kiume.”

HITIMISHO:

Kwa msaada wa ushauri, vipimo na tiba ya magonjwa ya afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake wasiliana nasi kwa simu namba 0625 305 487.

vipimo vya mfumo wa uzazi