“Je wewe ni mfanyakazi wa ofisini unayekosa muda wa kufanya usafi nyumbani kwako kutokana na majukumu na ubize wa kazi…?
Kiasi ambacho unakosa furaha ukiwa unaona nyumba yako ina mandhari mbaya kutokana na hali ya uchafu, unapata wasi wasi wa kushambuliwa na mafua, kikohozi, aleji…
Kama jibu ni ndio basi usiwe na wasi wasi kwani nimekuletea suluhisho la changamoto yako…
Suluhisho pekee la changamoto yako ni kupitia AMAZING CLEANERS TZ, hii ni kampuni ya usafi wa majumbani yenye lengo la kuwasaidia wanawake kwa wanaume walio na majukumu ya ofisini na kwenye biashara kufanya usafi wa kina majumbani mwao…
Tunatoa huduma zote zinazohusiana na usafi wa nyumba, vyombo vya usafiri kama vile gari, bajaji nk.
Huduma zitolewazo na kampuni yetu ni pamoja na usafi wa;
- Nyumba nzima
- Carpets
- Sofa
- Viti vya dining
- Arm chairs
- masinki yaliyofubaa
- Maru maru (tiles) zilizofubaa
- Siti za magari
- Pia Tunauza bidhaa za usafi aina zote
Kwanini ufanye kazi na kampuni yetu…?
Hii ni kwa sababu;
- Tunaokoa muda na gharama zetu ni nafuu sana
- Tunatoa huduma bora kutokana uwepo wa wafanyakazi wenye uzoefu
- Tunatumia vifaa na bidhaa zenye ubora wa hali ya juu kutoa huduma
- Tunakupa ujasiri wa kuwaalika wageni nyumbani kwako kutokana na huduma zetu za usafi wa hali ya juu
- Tunaepusha nyumba yako kuwa makazi ya wadudu watokanao na uchafu kama vile nzi, mende, kunguni, tandu nk.
Gharama zetu za kufanya usafi ni makubaliano kati yetu na mteja na malipo hufanyika baada ya kazi…
ili kupata huduma zetu wasiliana nasi kwa simu namba 0762935603, tunapatikana Dodoma mjini.
Leave a Reply