Tiba Ya Nguvu Za Kiume: Jinsi Ya Kuongeza Nguvu Za Kiume Ndani Ya Siku 60.

Ilikuwa ni jana mida ya saa 12 jioni kama kawaida baada ya kazi, rafiki yangu Elisha alikuwa anajiandaa kurudi nyumbani kwake maeneo ya Tabata-Dar Es Salaam alikokuwa anaishi na mpenzi wake Sarah…

Baada ya kufika nyumbani, alikutana na ukimya usio kuwa wa kawaida kwani alipojaribu kuingia ndani ya kumwita mpenzi wake Sarah hakukua na mwitikio wowote ule, alijaribu kumpigia simu mara kadhaa lakini ilikuwa haipatikani…

Huku akiwa ameketi sebuleni kwenye kochi akitafakari wapi alikokwenda mpenzi wake ghafla aliona barua mezani…

Baada ya kuichukua hiyo barua na kuisoma Elisha aliishiwa nguvu sana kwani hakuamini kilichoandikwa na mpenzi wake Sarah, ndipo alinipigia simu huku akiwa analia sana.

….baada ya kupokea simu neno la kwanza alilotamka ni…

“Dr. Isaya Febu naomba uje nyumbani haraka sana”

Kuna nini Elisha?…(Nikamuuliza kwa mshangao)

Baada ya kufika nyumbani kwa Elisha alinipatia barua iliyoandikwa na mpenzi wake Sarah niisome…aisee sikuamini macho yangu kwa kile nilichokiona”

Katika barua Sarah aliandika “Nimeamua kuondoka nyumbani kwako kwa sababu una upungufu wa nguvu za kiume huwezi kuniridhisha kitandani na kunipatia furaha ambayo kila mwanamke anaitaka kutoka kwa yule ampendaye. Nimekuvumilia sana lakini nimeshindwa itoshe kusema wewe ni mwanaume suruali iwe mwanzo na mwisho kunitafuta”.

Nilimgeukia Elisha na kumuuliza yaliyoandikwa katika barua hiyo yana ukweli ndani yake?…akanitazama usoni huku akiendelea kulia kwa uchungu ndipo kwa sauti ya unyonge akanijibu NDIO.

Kisha akaniambia yeye ni muathirika wa punyeto hivyo uume wake umelegea sana, anashindwa kurudia tendo la ndoa na wakati mwingine anashindwa kupata hamu ya tendo la ndoa kabisa…

Anasema ilifika hatua alikuwa hana ujasiri kabisa wa kumtongoza mwanamke akihofia kupata aibu kutokana na changamoto yake, alikosa amani na furaha mwisho wa siku alipata msongo wa mawazo uliyompelekea kupata vidonda vya tumbo…

Anadai amehangaika sana kutafuta msaada kila kona na ametumia dawa mbalimbali ili kutatua tatizo lake lakini aliishia kuambulia patupu…

Huku akiwa anaendelea kububujikwa na machozi na haelewi la kufanya nikamshika bega na kumsihi afute machozi kwani suluhisho bora na la uhakika kwa changamoto yake linapatikana kupitia kitabu (e-book) kiitwacho TIBA PEKEE YA KUDUMU YA NGUVU ZA KIUME.

Ndani ya kitabu hiki Elisha alijifunza mambo yafuatayo:

 1. Sababu za upungufu wa nguvu za kiume
 2. Namna ya kusafisha sumu ndani ya mwili
 3. Magonjwa ya lazima kutibu ili kupona nguvu za kiume
 4. Hatua na namna ya kubadili mfumo wa ulaji
 5. Aina ya vyakula maalum vya kuongeza nguvu za kiume
 6. Michanganyo (combo) ya asili maalum kwa wanaume
 7. Mazoezi ya muhimu kwa afya ya mwanaume
 8. Namna ya kuweka saikolojia yako vyema
 9. Jinsi ya ku-deal na uraibu wa video na picha za ngono (porn) na punyeto

Hivi ndivyo hali ya Elisha ilivyo kwa sasa…

 • Amefanikiwa kujitibia changamoto yake ya upungufu za kiume kwani amekuwa na nguvu za kiume mara dufu na sasa anaweza kufurahia tendo la ndoa kama wanaume wengine rijali.
 • Amekuwa na afya njema na mwenye kujiamini sana mbele ya wanawake tofauti na mwanzo kabla hajatatua changamoto yake ya upungufu wa nguvu za kiume.

Thamani ya kitabu hiki (soft copy) mara zote ni TZS 35,000/=…lakini sasa hivi unakipata kwa gharama ya TZS 15,000/=…okoa TZS 20,000/= nzima.

“OFA hii ya punguzo la bei ilikuwa ni kwa watu 10 wa mwanzo na tayari nafasi 5 za kwanza zimeshachukuliwa, wahi nafasi 5 zilizobakia (ofa hii itaisha kesho saa 6:00 mchana, weka oda yako mapema).

“Ili kuwahi OFA yako kabla ya kesho saa 6:00 mchana, LIPIA SASA kwenda tigo pesa namba 0653211873 (Isaya febu msemwa) kisha nitumie ujumbe wako wa malipo whatsApp namba 0625 305 487.

nguvu za kiume

Soma pia hizi makala: