Kiasi ambacho unashindwa kushiriki tendo la ndoa kwa furaha kutokana na kuwashwa sehemu za siri, kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje ya uke (labia minora), kupata vidonda ukeni kutokana na kujikuna, kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana, kupata maumivu makali wakati wa kukojoa, kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe…?
Kama jibu ni ndiyo, basi usiwe na shaka kwani huhitaji kutumia dawa za mahospitali ili kutibu fangasi ukeni, tiba halisi ipo kwenye dawa asilia…PANACEA natural product ambayo itakusaidia:
1) Kukata miwasho katika uke, kwa hiyo utaondokana na hatari ya kupata vidonda vinavyotokana na kujikuna ukeni.
2) Kukata uchafu unaotoka katika uke (utoko), kwa hiyo utakuwa huru na kujiamini kushiriki tendo la ndoa bila shida…
3) Kukata maumivu wakati wa kukojoa, kutibu uvimbe na wekundu katika mdomo wa nje ya uke (labia minora) utokanao na kujikuna.
4) Kukata harufu mbaya katika uke, kwa hiyo utaweza kushiriki tendo la ndoa bila shida.
5) Kukata maumivu wakati wa tendo la ndoa, kwa hiyo utaweza kushiriki tendo la ndoa kwa furaha.
6) Kuboresha mfumo wako wa homoni, kwa hiyo utapata hedhi yako kwa wakati na kupeleka kupata ujauzito.
7) Kuboresha kinga ya mfumo wako wa mwili, kwa hiyo utaondokana na hatari ya kupata magonjwa mengine kama vile Pid, U.T.I…
“Thamani ya dawa hii mara zote ni Tshs 110,000/= (full dose) …lakini sasa hivi unaipata kwa gharama ya Tshs 75,000/= (full dose)… (okoa Tshs 35,000/=nzima).
BONUSES:-Utasafirishiwa dawa zako BURE (kwa waliopo mikoani tu).
-Utapewa kitabu (e-book) kinachotoa muongozo wa tiba ya kutumia nyumbani kwa changamoto ya fangasi ukeni BURE
“OFA ilikuwa kwa watu 10 wa mwanzo na tayari nafasi 5 za kwanza zimeshachukuliwa (ofa itaisha kesho saa6:00 mchana, weka oda yako mapema)…
“Ili kuwahi OFA yako kabla ya kesho saa 6:00 mchana, wasiliana nasi kwa simu namba 0625 305 487 tunapatikana Makulu, Dodoma mjini.
Hawa hapa chini ni baadhi ya mashuhuda waliotumia dawa yetu, PANACEA natural product kutatua changamoto yao ya fangasi ukeni.
Nitapataje hiyo dawa? (kwa mteja aliyopo nje ya mkoa wa Dodoma mjini)
1. Ukilipia dawa unasafirishiwa kwa bus Au
2. Kama una ndugu, jamaa au rafiki aliyopo mkoani Dodoma mjini unaweza kumuagiza aje ofisini kwetu (Makulu) akununulie dawa.
Soma pia hii makala: “Jinsi Ya Kutokomeza P.I.D Bila Ya Kuchoma Sindano…
watu wengi wanaosumbuliwa na magonjwa haya ni watu wa hali ya chini ambao kwao 100,000 au 210,000 ni ngumu kuipata,je hamuoni kuna haja ya kuweka vipimo ambavyo vitaendana na hali zao za maisha mfn:dawa itakayo uzwa kwa 20,000–50,000
Dawa hizo zipo mkuu
Ziafaa kwa mjamzito
Ndio zinafaa
Vipi inasaidia kutibu pid pia au
ndio inatibu pia
Kwakweli hii dawa nishawahi kutumia imenisaidia sana kama wewe ni mgonjwa autojutia me niliangaika ila baada ya kupata sahv yupo nipo zangu nna amani tele
Napenda kutoa ushuhuda wa dawa ya fangas namn ilivyoweza kunisaidia.kiukwel Namshukuru Mungu sana sana hii dawa imeweza kunisaidia kwa kias kikubwa san ni dawa nzur sana na matokeo yake ni kwa uhalaka zaid namshukuru sana doct Mungu azid kukubalik zaid na zaid uweze kuendelea kusaidia wengi zaid wenye tatizo la fangas
Hii dawa imenisaidia sana….asante sana dokta….saa hivi niko vizuri na mwenye amani🙏🏻
Hii dawa imenisadia sana .. Yan hapo mwanzo nimetumia dawa nyingi sana za hospital nimechoma sindano za kutosha lakini sikupona ikafika muda hadi nikaanza kupungua Kwa mawazo .. ila baada ya kutumia dawa hii nimeona matokea mazuri na nashukuru Mungu Niko na amani sasa . asante Dkt Mungu akubariki sana .
Doctor hii dawa yako panacare ni dawa bora sana lile tatizo lake mke wangu la fangasi alipona kabisa ila bado naitaji dawa hiyo tena ngoja nijipange tena