“Jinsi Punyeto Ilivyoathiri Ndoa Yangu (STORI YA KWELI)”.

Nakumbuka kama jana vile ilikuwa siku ya ijumaa tarehe 21 mwezi wa nne mwaka huu majira ya saa 3:15 asubuhi ndipo nilipopokea ujumbe kwenye DM yangu ya whatsapp ukianza na;

Yeye: Habari za leo dokta Isaya

Mimi: Salama…karibu

Yeye: Naitwa Emmanuel, nina miaka 28 mkazi wa chanika mkoani DSM, napitia changamoto ya afya ya uzazi. Miaka ya nyuma wakati nikiwa form one shule ya bweni nilikuwa na tabia ya kujichua kila siku wakati wa kuoga (mchezo huo shuleni kwetu uboizini tulipenda kuuita kupanda mnazi). Niliendelea na tabia hiyo mpaka namaliza kidato cha nne. Sikuishia hapo kwani hata nilipojiunga na kidato cha 5&6 katika shule ya kiume (uboizini) niliendelea na michezo hiyo pasipo kujua madhara yake…

Nilianza kuona changamoto ya afya ya uzazi baada ya kufika chuoni (UDSM) kipindi nipo kwenye mahusiano kwani nilikuwa napata matatizo yafuatayo;

1) Uume kusimama legelege

2) Kuwahi kufika kileleni

3) Kuchelewa kusimamisha uume baada ya kufika kileleni

Changamoto hizo zilipelekea kila mahusiano niliyokuwa naanzisha kuota mbawa (kufa) jambo ambalo lilifanya niwe mtu mwenye msongo wa mawazo hali ambayo ilianza mpaka kuathiri performance yangu ya masomo darasani…

Nilijaribu kwenda hospitali ya “Regency” kuonana na dokta, alinichukua maelezo na kunishauri kufanya kipimo cha homoni. Majibu ya vipimo yalionesha kwamba nina changamoto ya kuwa na kiwango kidogo cha homoni ya kiume (testosterone). Nikapewa dawa nikatumia zaidi ya miezi 4 lakini mabadiliko yalikuwa kidogo sana hali ambayo ilinikatisha tamaa, nikaacha dozi…

Baada ya muda kupita nilimaliza chuo na nikafanikiwa kuoa. Changamoto iliendelea pale nilipoanza kutafuta mtoto nilijaribu tena kuhangaika hospitali nyingine mimi na mke wangu, nikafanya hadi kipimo cha mbegu za kiume, nikaambiwa nina kiwango kidogo cha uzalishaji wa mbegu na 50% ya mbegu zinazozalishwa zipo dormant. Bila kusahau majibu ya vipimo vya mke wangu vilionesha hana shida yoyote…

Hivyo nilipewa dawa nikatumia zaidi ya miezi 3 lakini nikaachana nazo baada ya kuchelewa kuona matokeo na kushindwa kumudu gharama za dawa+ kuattend kumuona dokta. Nilijaribu pia kutumia baadhi ya dawa za kienyeji niliishia kuambulia patupu…

Kwa sasa, changamoto ya kuwahi kufika kileleni imepungua lakini tatizo la kushindwa kusimamisha uume baada ya kumwaga bao la kwanza bado inanisumbua. Imefikia hatua ndoa kwangu imekuwa chungu, mke wangu ananionesha kila aina ya dharau yaani aniheshimu tena, hali hii inanipa mawazo sana ambayo yanaathiri utendaji wa kazi yangu ya kila siku…

Nahangaika kutafuta mtoto kwenye ndoa yangu, yaani sijui nifanyeje tafadhali naomba msaada na ushauri wako kunisaidia kupata matokeo…

Mimi: Pole sana Mr. Emmanuel ninao uwezo wa kukusaidia na ukaondokana na changamoto hii kwa kutumia miongozo mbalimbali ya kitabibu na programs ninazotoa. Niliendelea kumpatia ushauri na aliupokea na kuniahidi kuanza utekelezaji…

MIEZI MITATU BAADAYE…

Tarehe 23 mwezi wa saba mwaja huu saa 12:30 jioni nilipokea ujumbe kupitia whatsapp yangu ukisema “Dokta habari, this time mke wangu amepitiliza siku zake leo ni siku ya 5 kwa mujibu ya hedhi yake amejaribu kufanya kipimo cha mimba kimeonesha mistari miwili lakini mstari mmoja umefifia hivyo tumeshindwa kutafsiri…

Nilimuomba anitumie kipimo kwenye whatsapp yangu na baada ya kusoma kipimo kilionyesha mke wake ana ujauzito, nilipomuelewesha Mr. Emmanuel alifurahi sana na aliomba kama mkewe atajifungua mtoto wa kiume amuite kwa jina langu…

Je unatamani kufahamu Mr. Emmanuel alitumia miongozo gani ya kitabibu hadi akafanikisha kupata mtoto? Kama jibu ni ndiyo, bonyeza hapa chini: