“Kama umekuwa ukitafuta tiba ya kuziba kwa mirija ya uzazi kwa wanawake bila kufanya upasuaji…Basi soma ujumbe huu hapa chini mpaka mwisho…”
Juliana mwenye umri wa miaka 25, mkazi wa temeke jijini Dar es salaam alikuwa na tatizo la kuziba kwa mirija ya uzazi, na hivi ndivyo hali ilivyokuwa mbaya zaidi kwani alipata shida mno kutokana na kupata maumivu makali wakati wa hedhi, maumivu makali wakati wa kukojoa, kutokwa na uchafu ukeni, maumivu ya nyonga na maumivu makali chini ya kitovu…
Mbaya zaidi alihangaika kupata ujauzito kwa muda mrefu sana bila mafanikio hali ambayo ilipelekea malumbano yasiyoisha kati yake na muwewe na hivyo kumpelekea kukosa furaha na amani katika ndoa yake…
Huku pia mawifi zake nao wakichachamaa kwa kumtolea lugha za matusi, kejeli na kila aina ya manyanyaso wakimtaka Juliana ambebee kaka yao ujauzito lasivyo wamtaftie kaka yao mwanamke mwingine mwenye uwezo wa kubeba mimba…
Ilifika hatua alitengwa mpaka na ndugu, Jamaa na rafiki zake wa karibu kutokana na changamoto yake ya kushindwa kupata ujauzito…
Hali hii ilimuumiza sana Juliana na kumpelekea kupata msongo wa mawazo, kwani alikosa matumaini ya kuja kuitwa mama kama ilivyo kwa wanawake wengine waliobahatika kupata watoto…
Hivyo Juliana akawa ni mtu wa kujifungia ndani na kulia muda wote, kupata furaha kwake ilikuwa ni kama ndoto kwani alikuwa hajui afanye nini ili kutatua changamoto yake inayomsumbua kwa muda mrefu…
Alitafuta msaada kila kona na alitumia dawa mbalimbali ili kutatua tatizo lake lakini aliishia kuambulia patupu…
Mpaka pale alipokutana na PANACEA natural product, hii ni dawa asilia iliyo tengenezwa kutokana na mimea na matunda, ndio ulikuwa mwisho wa tatizo lake…
Hivi ndivyo hali ya Juliana ilivyo kwa sasa…
- Amepata mimba ya watoto mapacha (baada ya kufanya obstetric ultrasound) na mwezi wa 9 wa mwaka huu anatarajia kujifungua
- Amekuwa ni mwanamke mwenye amani na furaha isiyoelezeka katika ndoa yake bila kuwa na msongo wa mawazo kama zamani kwani mumewe amekuwa akimpenda sana Juliana na amekuwa akimletea sana zawadi kila siku anaporudi nyumbani kutoka kazini tofauti na zamani, lakini pia amemuahidi kumpatia zawadi ya gari endapo atajifungua salama hao watoto mapacha
- Amekuwa ni mwanamke mwenye kujiamini sana mbele ya wanawake wenzie waliojaaliwa kupata watoto
- Imani yake kwa MUNGU imeongezeka mara dufu Kwani sisi tumemtibu changamoto yake lakini Mungu amemponya…
“Thamani ya dawa hii mara zote ni Tshs 250,000/= (full dose)…lakini sasa hivi unaipata kwa gharama ya Tshs 180,000/= (full dose)+usafiri BURE (free delivery)…okoa Tshs 70,000/= nzima.
“OFA hii ya punguzo la bei ilikuwa ni kwa watu 10 wa mwanzo na tayari nafasi 5 za kwanza zimeshachukuliwa, wahi nafasi 5 zilizobakia (ofa hii itaisha kesho saa 6:00 mchana, weka oda yako mapema).
“Ili kuwahi OFA yako kabla ya kesho saa 6:00 mchana, wasiliana nasi kwa simu namba 0625 305 487, tunapatikana makulu, Dodoma mjini.
Hawa hapa chini ni baadhi ya mashuhuda waliotumia dawa yetu, PANACEA natural product kutatua changamoto yao ya kuziba kwa mirija ya uzazi.
Soma pia hii makala: “Je Umehangaika Kwa Muda Mrefu Kutibu Fangasi Ukeni Bila Mafanikio…?
Nitapataje hiyo dawa? (kwa mteja aliyopo nje ya mkoa wa Dodoma mjini)
1. Ukilipia dawa unasafirishiwa kwa bus Au
2. Kama una ndugu, jamaa au rafiki aliyopo mkoani Dodoma mjini unaweza kumuagiza aje ofisini kwetu (Makulu) akununulie dawa.
Mbona hamsiki simu nikiwapigia
Piga 0625305487
Hi i think that i saw you visited my web site thus i came to Return the favore I am attempting to find things to improve my web siteI suppose its ok to use some of your ideas
helloI like your writing very so much proportion we keep up a correspondence extra approximately your post on AOL I need an expert in this space to unravel my problem May be that is you Taking a look forward to see you