Kitunguu Maji:
Kitunguu maji si kiungo cha mapishi tu, bali pia ni dawa ya asili yenye virutubisho vinavyoweza kuboresha afya ya uzazi na kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake.


Leo katika mada yetu ya blogu hii tutazungumzia baadhi ya faida za kitunguu maji katika tendo la ndoa. Ungana nami katika kuchambua faida hizi.
1) Huongeza Stamina Na Uwezo Wa Kudumu Kitandani.
Virutubisho vilivyomo kwenye kitunguu maji husaidia kuongeza nishati mwilini, hivyo kuruhusu kushiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu bila kuchoka haraka.
2) Huimarisha Nguvu Za Kiume.
Kwa wanaume, kitunguu maji huboresha mzunguko wa damu kuelekea kwenye uume, hivyo kusaidia uimara wa kusimama kwa uume (penile erection) na kuzuia tatizo la kuwahi kumaliza wakati wa tendo la ndoa (premature ejaculation).
3) Kuboresha Ubora Wa Shahawa.
Madini kama vile zinki na antioxidants zilizopo kwenye kitunguu maji husaidia kuongeza wingi na ubora wa mbegu za kiume, jambo linaloongeza uwezo wa kupata mtoto.
4) Huongeza Hamu Ya Tendo La Ndoa (Aphrodisiac).
Kitunguu maji huchochea homoni za uzazi kama testosteroni kwa wanaume na estrojeni kwa wanawake, jambo linaloongeza hamu (libido) na msisimko wakati wa tendo la ndoa.
5) Huboresha Afya Ya Uke Na Kupunguza Ukavu Ukeni.
Kwa wanawake, kitunguu maji husaidia kuongeza mzunguko wa damu sehemu za siri, hivyo kupunguza ukavu ukeni na kuongeza utamu wakati wa tendo.
Soma pia hii makala: Vyakula 11 Vinavyo ongeza Hamu Ya Tendo La Ndoa Kwa Wanaume.
HITIMISHO:
Unashauriwa kula kitunguu maji kwa kiasi au kuandaa kinywaji chake cha asili (juisi ya kitunguu maji) kabla ya tendo la ndoa ili kupata matokeo bora.
By the way, hivi unajua kwamba dawa ya asili iitwayo PANACEA iliyotengenezwa kutokana na mimea na matunda inasaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanaume na mwanamke? Ndiyo ni kweli, kupata dawa hiyo bonyeza hapa.

It’s really a great and helpful piece of information. I’m happy that you simply shared this helpful information with us. Please stay us informed like this. Thanks for sharing.